
Dege jipya la kivita la Marekani aina F-16D lililotengenezwa kwa teknologia ijulikanayo kama ACAT(Automatic Collision Avoidance Technology ) likiruka kutoka ktk uwanja wa Edward Air Force Base huko Florida.Dege hili jipya la kivita lina uwezo wa kuzuia mashambulizi lenyewe au automatic kama wazungu wanavyosema likiwa ardhini au angani.
Nauliza vita ni vya nin? manake kila kukicha wanayatega mabomb, kila kukicha 2nazibeba silaha, mama yuko vitan sokoni hapaendeki, baba yuko vitan kazini hapaendeki, watoto shulen hapaendek.Am so scared coz hofu ya vita imetanda.Yeeees masive Try 2 stop it kupitia mashairi yako, hta wasipoelewa ujumbe utawafikia.Peace man.
ReplyDelete