
Leo nimewaletea picha ya roketi kubwa kuliko zote duniani(Ares I-X) inayotengenezwa na wanasayansi wa Marekani ikiwa ktk hatua za mwisho kabisa za matengenezo kabla ya kuanza safari yake.Roketi hiyo yenye urefu wa ft.327 inatarajiwa kuanza safari yake baadaye mwaka huu ikiwa na lengo la kufanikisha safari ya pili ya Marekani kufika mwezini baada ya ile ya miaka ya sitini.
Hawa wajomba wanataka kushindana na Sir God, ngoja 2one mwisho wake utakuaje' One luv man 2ko pamoko na hizi maharakat ze2.
ReplyDelete