Tuesday, August 11, 2009

Hili ni gari maalum la kubeba wafanyakazi wa kampuni ya Microsoft Co. ambapo wafakazi hupata fursa ya kuendelea na kazi wawapo njiani kuelekea kazini kuokoa muda unaopotea kutokana na msongamano wa magari.

2 comments:

  1. yoooo!!! wel si mmnacheck wenzetu walivyokuwa time concious kama vp ata sisi tubadilike, we gotta save time men,,, save time save money! jaribu kuimagine we go to work oe study at maximum eight hrs a day.in those hrs we deduct break hours that makes it about two hours so we reemain with 6hrs, deducting free periods we remain about 4 hrs, now the work or study are only those hrs hapo hatujapiga simu wala msg ondoa muda huo uone, npa pia kufikiria mambo mengine so kwa cku kama we work 3 hrsm,now fikiria kwa week miez na miaka ondoa weekengs na likizo alaf nambie hw many hrs are we doing productive thns then wen u get the ans check is it worth it!!! then tell me...... am The pompidou!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Cool and I have a tremendous proposal: How To Become A House Renovation cost to gut a house

    ReplyDelete