Chini na hapa juu kushoto ni robot maalumu iliyotengenezwa na wana-anga wa kimarekani ambayo itakuwa inatumika kufanya shughuli mbalimbali nje ya maabara ya anga ya kimataifa inayoelea angani ambapo shughuli hizo mwanzo zilikuwa zikifanywa na binadamu
Jamaa wapo ktk hatua za mwisho kabisa za ujenzi wa International Space Station(Kituo cha anga cha kimataifa) ambacho kitakuwa kikitumiwa kufanya tafiti mbalimbali zinazohusu anga.Hapa anaonekana mwanaanga akiwa ktk harakati za ku-fix moja ya maabara zitakazokuwa zikitumiwa ktk tafiti hizo.Kituo hicho kwa sasa kimefikia 90% ya ujenzi wake ambapo kimebakiza asilimia kumi tu kabla ya kuanza kazi rassmi.
Shaggy kwa mara nyingine tena ameonyesha uwezo mkubwa kabisa wa kucheza na vocal ktk wimbo unaokwenda kwa jina" Street Bullies M adley" akishirikiana na wanamuziki wengine kama Vybz Kartel, Cecile na wengineo na kuiwezesha kushika nafasi ya pili ktk reggae top10 nchini Jamaica wiki hii wakati nafasi ya kwanza ikishikiliwa na mwanamuziki Sean Paulo na wimbo wake" Press It Up" kwa wiki ya nne mfululizo.Ni ridim na video kali usiikose!!
Monday, February 1, 2010
Mmoja wa washiriki wa kumtafuta bingwa wa "mustach" yaliyofanyika huko mamtoni akiwa ktk pozi la kipekee