
Jamaa wapo ktk hatua za mwisho kabisa za ujenzi wa International Space Station(Kituo cha anga cha kimataifa) ambacho kitakuwa kikitumiwa kufanya tafiti mbalimbali zinazohusu anga.Hapa anaonekana mwanaanga akiwa ktk harakati za ku-fix moja ya maabara zitakazokuwa zikitumiwa ktk tafiti hizo.Kituo hicho kwa sasa kimefikia 90% ya ujenzi wake ambapo kimebakiza asilimia kumi tu kabla ya kuanza kazi rassmi.
No comments:
Post a Comment