Friday, September 14, 2012

Vituko Duniani

Kuna jamaaa anasema hii imetokea Sumbawanga japo sina uhakika nadhani alikuwa anapika tuu stori.Stori inasema n'gombe huyu alikuwa anapenda kula mazao ya watu hivyo mwenye naye alipoamka asubuhi akamkuta juu ya paa la nyumba yake!!Mmm..!Hii sayansi kiboko. 

Tuesday, August 14, 2012

Rais Obama akiwa ktk mazungumzo ya simu na wanasayansi waoongoza robot maalum iliyotua hivi karibuni ktk sayari ya Mars kuchunguza uwezekano wa kuwepo kwa uhai ktka sayari hiyo 

Thursday, February 9, 2012

Maajabu Duniani

Mwanamama mmoja nchini India amefanikiwa kujifungua salama salmini watoto 11 kama wanavyoonekana ktk picha hii!!amakweli haya ni maajabu!