
Shaggy kwa mara nyingine tena ameonyesha uwezo mkubwa kabisa wa kucheza na vocal ktk wimbo unaokwenda kwa jina" Street Bullies M adley" akishirikiana na wanamuziki wengine kama Vybz Kartel, Cecile na wengineo na kuiwezesha kushika nafasi ya pili ktk reggae top10 nchini Jamaica wiki hii wakati nafasi ya kwanza ikishikiliwa na mwanamuziki Sean Paulo na wimbo wake" Press It Up" kwa wiki ya nne mfululizo.Ni ridim na video kali usiikose!!